TUKIO LA MAJONZI :BAADA YA FAMILIA YAKE KUNYANYASWA , KUTESWA , KUBAKWA KISHA KUUAWA KIKATILI MIAKA SITA ILIYOPITA,WILLIAM PETIT AFUNGA NDOA NA KUPATA MTOTO , TAZAMA HAPA
Dr.William Petit alishikwa na mshituko baada ya tukio ambalo kwa hakika hatokuja kulisahau maishani mwake ni baada ya Familia yake kutekwa na kuuawa kikatili.
Mnamo mwaka 2007, tukio la kusikitisha na kuhuzunisha lilimpata
Dr.William Petit ambapo alipoteza mke na watoto wawili ambao walitekwa , wakanyanyaswa, wakaumizwa, wakabakwa na mwisho wakauawa kwa kifo cha kikatili...Gazeti la Daily mail online , limeandika kuwa baada ya kufanyiwa vitendo vyote hivyo nyumba hiyo ilichomwa kwa kutumia Gesi huku mke wa Dr.William Petit na watoto wake wawili wakiwa wamefungiwa kitandani na kuzibwa vichwa na mito.

shuhudia hapa
Baada ya maumivu ya muda mrefu Dr.William Petit amepata mtoto huyu mwezi huu tarehe 23
Dr.William Petit akiwa na mkewake mpya baada ya maumivu ya miaka 6 akiendelea kuumia na kuwaza juu ya mke wake na watoto wake
Dr.William Petit na mke wake mwezi wa nane mwaka huu wakitangaza kwamba wanatarajia mtoto.
Hizi zilikuwa picha za kwanza walizo weka mtandaoni Dr.William Petit na mkewake kuwa wanatarajiwa kupata mtoto.
Dr.William Petit akiwa na furaha pamoja na mke wake mpya Christine Paluf
Ni huzuni sana Mke wa Dr.William Petit pamoja na watoto wake wawili baada ya kubakwa na kuteswa wakiwa katika hili jumba walifungwa kitandani na kuunguza nyumba hii kwa kutumia gesi.
Mbaya zaidi wakati jengo linawaka moto watoto walikuwa wanamaumivu makali ya kubakwa na kuteswa huku kichwani wamefunikwa na mito.
Inasikitisha na kuuma sana Hiki ndicho kitanda ambacho Mke wa Dr.William Petit pamoja na watoto wake wawili waliishia hapa kwa kuungua moto