Share this Post

dailyvideo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE WA NCHI WASHIRIKI WA KANDA YA KASKAZIN, JIJINI KAMPALA UGANDA

1Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika jana kwenye Hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala Uganda, ambapo Tanzania imeshiriki Mkutano huo kama Mwalikwa. Picha na OMR2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akizungumza katika mkutano huo. Picha na OMR
3Rais wa Uganda Yoweri Museven, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Nne wa wakuu wa Nchi wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini. Umoja huo unaundwa na nchi za Uganda, Kenya, Rwanda na Sudan Kusini,Tanzania na Burundi zimeshiriki mkutano huo kama nchi waalikwa ambao pamoja na mambo megine waliyojadili ni kukamilisha miradi mbalimbali inayofanywa kwa pamoja na ushirikiano huo. Picha na OMR4Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa kwenye mkutano 5Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) na Rais wa Burundi Gervas Rufykiri, wakitia saini kushiriki katika mkutano huo. Picha na OMR 7Makamu wa Rais Dkt Bilal (katikati) akizungumza na Rais wa Uganda Yower Museven (kulia) baada ya Mkutano huo. Picha na OMR

Posted by Editor on 17:14. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE WA NCHI WASHIRIKI WA KANDA YA KASKAZIN, JIJINI KAMPALA UGANDA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery