Tuesday, 4 March 2014

MAAJABU: DAWA AINA YA METAKELFIN YAMGEUZA KIJANA HUYU KUWA ALBINO


Bw.Hafidh Masokola Damson ambaye alibadilika na kuwa Albino kutokana na matumizi ya dawa za Malaria baada ya kuzitumia mnamo mwaka 2010,Kwa maelezo yake mara baada ya kunywa dawa aina ya Metakelfin alianza kubabuka ngozi ya mwili wake huku magamba yakitoka mithiri ya nyoka katika mwili wake.

Hafidh Masokola kabla ya kubadilika kuwa mlemavu wa ngozi Albino.
Kwa uthibitisho wa habari hii waweza kumpigia kwa simu ya kiganjani 0767 298 348 au 0658 298 348.

0 comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text