Share this Post

dailyvideo

NDEGE YA MALAYSIA AIRLINE YADONDOKA KATI YA VIETNAM NA TAILAND ILIKUWA NA WATU 239 Waziri mkuu wa Malaysia, Nijib Razak ( katikati), Msaidi wa waziri mkuu Muhyiddin Yassin (Kushoto) pamoja na Waziri wa usafirishaji, Hishamuddin Hussin (kulia) wakizungumza na vyombo vya habari  kwenye uwanja wa Kuala Lumpur Internation Airport(KLIA) baada ya ndege ya Malaysia Airlines kudondoka.
Ahmad Jauhari Yahya akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Kuala Lumpur Internation Airport(KLIA) baada ya ndege ya Malaysia Airlines kudondoka.
Ndege ya Malaysia Airlines iliyokuwa na abiria 227 na wafanyakazi 12
imedondoka kwenye bahari kwani eneo hili la bahari limejaa mafuta ya
ndege hiyo kutoka Vietnam ni umbali wa Kilometa 250 kwa kutoka Malaysia ni umbali wa kilometa  190.


 
Ndugu wa abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo wakisubiri taarifa kuhusiana na ndege hiyo

Ndege ya Malaysia Airlines iliyokuwa na abiria 227 na wafanyakazi 12 imeanguka huko katika bahari kusini mwa China, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Vietnam.
Ndege hiyo aina ya Boeing 777-200ER iliyokuwa inatoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing, ilikuwa imepotea kwa masaa kadhaa. Kama ripoti hiyo ikithibitisha, itakuwa ni ajali mbaya ya ndege ya aina hiyo (Boeing 777) tangu iingie sokoni miaka 19 iliyopita.


Ndugu wakifanya mawasiliano kutaka kujua ukweli

Posted by Editor on 16:04. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for NDEGE YA MALAYSIA AIRLINE YADONDOKA KATI YA VIETNAM NA TAILAND ILIKUWA NA WATU 239

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery