Wednesday, 9 April 2014

HATIMAYE MOVIE YA TOM BOY KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI NI BAADA YA KUPATA KIBALI KUTOKA BODI YA FILAMU.


Bodi ya Filamu Tanzania hatimaye imetoa kibali rasmi kwa ile Movie kali Ya TOM BOY,Kabla ya kuachiwa Movie hii kulikuwa na maneno kwamba haiko sawa kwa maadili ya Kitanzania,Lakini bodi ya filamu Tanzania wameipita kwa kina na umakini mkubwa na hatimaye kuibariki ili iweze kutoka na kuuzwa.Bodi ya filamu imesema kwamba movie hiyo ipo kwenye maadili na pia maudhui yake ni uhalisia kabisa ambao unatokea kwenye jamii zetu.Akiongea na mtandao wetu huu wa Dj Sek Mtunisy amesema kwamba anawashuru bodi ya filamu Tanzania kwa kuweza kuipitia na kuichambua filamu hiyo na hatimaye kuweza kuiba kibali kwa kuwa ina elimisha na kufundisha Jamii.


DJ SEK BLOG


0 comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text