Share this Post

dailyvideo

TUKIO LETU LA WIKI: ANGALIA PICHA YA JIWE LA AJABU NCHINI TANZANIA NA HAIRUHUSIWI KULIPANDA WALA KULISOGELEA!! KWANI NI HATARII




Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa"

1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma,

2. lina vyanzo vingi vya maji chini yake, 
3. Ni ngumu kulipanda na ukithubutu yatakayokukuta ni
juu yako na tayari Mzungu mmoja kapoteza maisha'
4. Ni ngumu kulizunguka,

5. Hutumika kwa matambiko kwa baadhi ya koo,

6. Kuna watu maalumu wanaotoa maelekezo kwa yeyote
anayetaka kulifikia ama kupanda,

7. Ni kivutio kikubwa kwa wageni wachache ambao
hutembelea Litembo, Maguu, Hagati nk huko Mbinga,
8. Linaheshimika sana na wakazi wanaolizunguka jiwe
hilo,
9. Sehemu kubwa ya watu wananchi wanaolizunguka
hawajawahi kulipanda wala kulisogelea kwa hofu,
10. Jina la jiwe hilo ndilo jina la Tarafa ya Mbuji wilayani
Mbinga.

Posted by Editor on 17:53. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for TUKIO LETU LA WIKI: ANGALIA PICHA YA JIWE LA AJABU NCHINI TANZANIA NA HAIRUHUSIWI KULIPANDA WALA KULISOGELEA!! KWANI NI HATARII

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery