EAST AFRICAN NEWS

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Y...

10 Nov 2017 | 0 comments | Read more

WATANZANIA WANG'ARA SHINDANO LA MWANDISHI BORA WA SAYANSI NA KILIMO AFRIKA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Uganda na Mjumbe wa Bodi ya ASARECA, Dr. Ambrose Agona (kushoto), akimkabidhi cheti Mwand...

29 Sep 2017 | 0 comments | Read more
ENTERTAINMENT NEWS

WAZIRI MWAKYEMBE AUDHURIA TAMASHA LA JAMAFEST NCHINI UGANDA

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Ugand...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI (TASUBA) PAMOJA NA SHORT STATURE OF KENYA ZIKIONYESHA MAIGIZO TAMASHA LA JAMAFEST

 Kikundi cha burudani ya Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of Kenya kikitoa igizo lake la ku...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

DKT.MWAKYEMBE AMEWAPONGEZA WAJASIRIAMALI WA TANZANIA KWA KUSHIRIKI TAMASHA LA JAMAFEST KAMPALA, UGANDA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Utamaduni, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiangalia ngoma ya kiutamaduni iliy...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

WORLD NEWS

TECHNOLOGY

CONGRESS TO SMART DEVICE MAKERS: YOUR SECURITY SUCKS

Four senators propose the "Internet of Things Cybersecurity Improvement Act,"...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

HUAWEI CAME REALLY CLOSE TO SELLING AS MANY PHONES AS APPLE

Apple sold 41 million iPhones in the second quarter, while Huawei's shipments were a...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

SECRET SERVICE WILL REPORTEDLY TEST DRONE FOR TRUMP SECURITY

The Secret Service is looking at whether unmanned aerial vehicles could be use...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

WHAT APPLE'S EARNINGS TELL US ABOUT THE IPHONE 8

The iPhone 7 and 7 Plus may see it's future sibling sooner than many expected.  S...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more
CELEBRITIES NEWS

JOCKTAN MAKEKE KUSHIRIKI MAONESHO YA UTAMADANI NCHINI NIGERIA

 Mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini, Tanzania Devotha Mdachi  akikabidhiwa bendera Msanii wa mitindo, Jocktan...

09 Sep 2017 | 0 comments| Read more

IMPRESSIVE! BEYONCE LOOKS SLENDER IN LOW-CUT DRESS ON SUSHI DATE IN LA WITH JAY Z

Crazy in love: Beyonce looked absolutely fabulous on a sushi date night with husband Jay Z on Wednesday ...

04 Aug 2017 | 0 comments| Read more

BLOODIED JESSICA BIEL SIZZLES IN STEAMY SEX SCENE WITH HER HUNKY ONSCREEN HUSBAND

Bloody: The gimmick of the show is figuring out why this mother and wife decided to stab a man to death in the first place ...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

Share this Post

SPORTS NEWS

JOSEPH KIMWAGA KUKAA NJE MIEZI MINNE BAADA YA UPASUAJI WA GOTI

WINGA wa Klabu ya Azam FC Joseph Kimwaga akiwa katika chumba cha matibabu katika Hospitali ya Vincent Palloti iliyopo jijini ...

06 Sep 2017 | Read more
HEALTH NEWS

PAMOJA NA UNENE LAKINI HAWEZI ACHA KULA

The Brazilian boy, known only as Misael, was born a healthy 6lb 6oz (2.9kg) But every month since, has gained 6lb (3kg), meaning he str...

29 Sep 2014 | Read more
TOP TEN

Top 10 ‘Breaking Bad’ Moments

Ursula Coyote / AMC 10. The ricin’s fate is revealed For all its discussion over the course of the series, ricin had never been ...

08 May 2014 | Read more
FACTS

WACHINA NOMA SANA

 Ukisikia Wachina balaa sasa hii ni moja wapo, Kiwanda Kimojawapo cha China kijulikanacho kwa jina la LandWind kimeibuka na Kutengene...

25 Nov 2014 | Read more
ENVIRONMENT NEWS

A CLIMATE CHANGE INSPIRED PROJECT LAUNCHES IN DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399 ...

04 Aug 2017 | Read more
FASHION

MH. CATHERINE MAGIGE AZINDUA RASMI DUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY

. MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Vijana , Mkoa wa Arusha Catherine Magige  leo amezindua rasmi  duka ...

12 Jan 2015 | Read more
HISTORY

MAKALA FUPI: Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan ajifungua

Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuas...

28 May 2014 | Read more
TRAGEDY NEWS

JOCKTAN MAKEKE KUSHIRIKI MAONESHO YA UTAMADANI NCHINI NIGERIA

 Mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini, Tanzania Devotha Mdachi  akikabidhiwa bendera Msanii wa mitindo, Jocktan...

09 Sep 2017 | Read more

dailyvideo

Machar kukutana na Rais Kiir wa Sudan Kusini


Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wanakutana ana kwa ana kwa mara ya kwanza tokea kuzuka kwa mzozo nchini mwao mwezi Disemba mwaka jana na kusababisha ukiukaji mkubwa haki za binaadamu.
Kiongozi wa waasi Riek Machar akiwa mjini Addis Ababa,Ethiopia kwa mazungumzo na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini. (09.05.2014) Kiongozi wa waasi Riek Machar akiwa mjini Addis Ababa,Ethiopia kwa mazungumzo na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini. (09.05.2014)
Mazungumzo hayo yanafanyika Ijumaa (09.05.2014) katika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia kufuatia juhudi za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ambap hivi karibuni walifanya ziara nchini Sudan Kusini.
Machar kwanza alikutana na wanasiasa wanne waandamizi ambao serikali iliwatia mbaroni kwa madai ya kula njama ya kufanya mapinduzi kwa niaba yake na ambao wameachiliwa huru wiki mbili zilizopita.
Duru zilizo karibu na mazungumzo hayo zinasema Machar pia alikuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo na Ushirikiano baina ya serikali za Nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD) ambayo ilikuwa msuluhishi katika mazungumzo hayo ya amani.
Matumaini ya amani
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry akiwa na Rais Slava Kiir wa Sudan Kusini mjini Juba.(02.05.2014) Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry akiwa na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini mjini Juba.(02.05.2014)
Wawakilishi wa Kir na Machar walikuwa wakikutana kwa miezi kadhaa lakini viongozi hao wenyewe hawakuwahi kukutana ana kwa ana tokea kuzuka kwa mzozo huo wa Sudan Kusini.
Mmojawapo wa wanasiasa walioachiliwa huru Pagan Amum amesema ana matumaini thabiti ya kufikiwa kwa amani na umoja kwa nchi yao.Amum ambaye ni katibu mkuu wa zamani wa chama tawala cha Sudan Kusini SPLM amesema wanasubiri kwa hamu kukutana na Rais Salva Kiir kumshawishi juu ya haja ya kukomesha vita hivyo.
Pande hizo mbili hivi karibuni zimekubaliana juu ya usitishaji wa mapigano wa mwezi mmoja ili kuwawezesha wakulima kupanda mazao yao, lakini hata hivyo mapigano yamekuwa yakiendelea.
Mashambulizi ya serikali yaendelea
Msemaji wa waasi Brigedia Generali Lul Ruai Koang (kushoto), na Gatdet Dak(kulia) msemaji wa Machar wakizungumza na waandishi wa habari Addis Ababa . (09.05.2014) Msemaji wa waasi Brigedia Generali Lul Ruai Koang (kushoto), na Gatdet Dak(kulia) msemaji wa Machar wakizungumza na waandishi wa habari Addis Ababa . (09.05.2014)
Brigedia Generali Lul Ruai Koang msemaji wa waasi amesema hata kabla ya mkutano huo kuanza tayari wamekuwa wakipokea taarifa kwamba vikosi vya serikali vinavishambulia vikosi vyao katika majimbo matatu.
Amesema "Rais Salva Kiir hayuko makini katika suala la kutafuta ufumbuzi wa kisiasa kwa mzozo huu.Anaamini katika kuwa na ufumbuzi wa kijeshi na ndio maana vikosi vyake vinafanya mashambulizi kila mahala."
Koang ameongeza kusema ili kuzungumzia amani kunahitajika kuwepo mazingira mazuri ya kufanya hivyo lakini serikali inaendeleza vita.
Mapambano ya kuwania madaraka kati ya Kiir na Machar yaligeuka kuwa umwagaji damu hapo kati kati ya mwezi wa Disemba wakati yalipozuka mapigano kati ya wanajeshi waliokuwemo kwenye makundi tafauti yanayowaunga mkono ya kabila Dinka na la Nuer. Maelfu ya watu wameuwawa katika mzozo huo na wengine zaidi ya milioni moja wamepotezewa makaazi.
Shirika la Kimataifa la Haki za Binaadamu la Amnesty International na Umoja wa Mataifa wiki hii wameyashutumu makundi hayo yanayohasimiana kwa kuchochea unyama unaofanyika kwa misingi ya kikabila ambapo baadhi ya vitendo hivyo vinaweza kuhusishwa na uhalifu dhidi ya ubinaadamu.
Mwandishi : Mohamed Dahman/ dpa/Reuters
Mhariri:Yusuf Saumu

DW SWAHILI

Posted by Editor on 21:02. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Machar kukutana na Rais Kiir wa Sudan Kusini

Post a Comment

Photo Gallery

Designed by Solaranlagen | with the help of Bed In A Bag and Lawyers