"Mimi pia ni binaadamu, nina hisia" , Hajawahi kutembelewa na Ndugu zake.
Mbiu ya Mnyonge inasimulia hadithi ya mtoto Hassani na wenzake wenye
ulemavu wa ngozi kwenye kituo cha Skuli Maalum ya Msingi ya Buhangija,
Tanzania, wakisema nao pia ni wanaadamu, wana hisia, wana ndoto na wana
roho.
Kwa mwaka wa tano sasa, mvulana Hassani Hamisi mwenye umri wa 16
amehifadhiwa kwenye Skuli Maalum ya Msingi ya Buhangija, lakini - kama
walivyo wenzake kadhaa miongoni mwa watoto 176 wenye ulemavu wa ngozi
kituoni hapo - hajawahi kutembelewa na mzazi wake.
Mohammed Khelef anaangazia jaala ya watoto hao ambayo ni kielelezo cha mchanganyiko wa hofu na matumaini.
Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman
DW SWAHILI
Mohammed Khelef anaangazia jaala ya watoto hao ambayo ni kielelezo cha mchanganyiko wa hofu na matumaini.
Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman
DW SWAHILI
Posted by Editor
on 11:09.
Filed under
eastafricannews
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0