Share this Post

dailyvideo

NANI KUIBUKA NA MILIONI 20 KATIKA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014? MPIGIE KURA HAPAWafuatao ni
washiriki wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula kutoka mikoa mbalimbali ya
Tanzania ambao sasa wapo kijijini Maisha Plus wakiwania zawadi ya vifaa vya
kilimo vyenye thamani ya Tzshs. Milioni 20.MS 01: Elinuru M. Pallangyo - Arusha

MS 02: Dorothy D. Pallangyo - Arusha

MS 03: Leah D. Mnyambugwe - Dodoma

MS 06: Martina G. Chitete - Iringa

MS 08: Grace G. Mahumbuka - Kagera

MS 10: Zinaida J. Kijeri - Kigoma

MS 11: Upendo M. Msuya - Kilimanjaro

MS 12: Neema U. Kivugo - Manyara

MS 15: Elizabeth Simon - Morogoro

MS 16: Joyce N. Hassan - Mtwara

MS 17: Bahati Muriga - Mwanza

MS 18: Thereza Kitinga - Mwanza

MS 20: Santina Mapile - Njombe

MS 21: Mary A. Ndasi - Rukwa

MS 22: Fredina M. Said - Shinyanga

MS 23: Esther Kulwa - Simiyu

MS 24: Mary J. Mwanga - Singida

MS 25: Doricus M. Shumbi - Singida

MS 27: Kuruthum R. Mwengele - TangaKumpigia kura mshiriki umpendae, andika namba yake mfano MS 00 kisha tuma
kwenda +255689666662 au mtandaoni kupitia: http://voting.maishaplus.tv/index.php/voting/mamashujaaWekeza kwa wakulima wadogo wanawake. INALIPA.Posted by Editor on 17:53. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for NANI KUIBUKA NA MILIONI 20 KATIKA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014? MPIGIE KURA HAPA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery