PICHA: HII NDIO SEHEMU AMBAYO MSANII WA BONGO MOVIE MAREHEMU RECHO NA MTOTO WAKE WATAKAPO PUMZIKA MILELE.
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
RECHO:
Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake
mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda
mfupi baada ya kumzaa!
RECHO: KUZALIWA 1988 KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS
Picha na Global Publishers.






