EAST AFRICAN NEWS

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Y...

10 Nov 2017 | 0 comments | Read more

WATANZANIA WANG'ARA SHINDANO LA MWANDISHI BORA WA SAYANSI NA KILIMO AFRIKA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Uganda na Mjumbe wa Bodi ya ASARECA, Dr. Ambrose Agona (kushoto), akimkabidhi cheti Mwand...

29 Sep 2017 | 0 comments | Read more
ENTERTAINMENT NEWS

WAZIRI MWAKYEMBE AUDHURIA TAMASHA LA JAMAFEST NCHINI UGANDA

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Ugand...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI (TASUBA) PAMOJA NA SHORT STATURE OF KENYA ZIKIONYESHA MAIGIZO TAMASHA LA JAMAFEST

 Kikundi cha burudani ya Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of Kenya kikitoa igizo lake la ku...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

DKT.MWAKYEMBE AMEWAPONGEZA WAJASIRIAMALI WA TANZANIA KWA KUSHIRIKI TAMASHA LA JAMAFEST KAMPALA, UGANDA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Utamaduni, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiangalia ngoma ya kiutamaduni iliy...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

WORLD NEWS

TECHNOLOGY

CONGRESS TO SMART DEVICE MAKERS: YOUR SECURITY SUCKS

Four senators propose the "Internet of Things Cybersecurity Improvement Act,"...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

HUAWEI CAME REALLY CLOSE TO SELLING AS MANY PHONES AS APPLE

Apple sold 41 million iPhones in the second quarter, while Huawei's shipments were a...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

SECRET SERVICE WILL REPORTEDLY TEST DRONE FOR TRUMP SECURITY

The Secret Service is looking at whether unmanned aerial vehicles could be use...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

WHAT APPLE'S EARNINGS TELL US ABOUT THE IPHONE 8

The iPhone 7 and 7 Plus may see it's future sibling sooner than many expected.  S...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more
CELEBRITIES NEWS

JOCKTAN MAKEKE KUSHIRIKI MAONESHO YA UTAMADANI NCHINI NIGERIA

 Mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini, Tanzania Devotha Mdachi  akikabidhiwa bendera Msanii wa mitindo, Jocktan...

09 Sep 2017 | 0 comments| Read more

IMPRESSIVE! BEYONCE LOOKS SLENDER IN LOW-CUT DRESS ON SUSHI DATE IN LA WITH JAY Z

Crazy in love: Beyonce looked absolutely fabulous on a sushi date night with husband Jay Z on Wednesday ...

04 Aug 2017 | 0 comments| Read more

BLOODIED JESSICA BIEL SIZZLES IN STEAMY SEX SCENE WITH HER HUNKY ONSCREEN HUSBAND

Bloody: The gimmick of the show is figuring out why this mother and wife decided to stab a man to death in the first place ...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

Share this Post

SPORTS NEWS

JOSEPH KIMWAGA KUKAA NJE MIEZI MINNE BAADA YA UPASUAJI WA GOTI

WINGA wa Klabu ya Azam FC Joseph Kimwaga akiwa katika chumba cha matibabu katika Hospitali ya Vincent Palloti iliyopo jijini ...

06 Sep 2017 | Read more
HEALTH NEWS

PAMOJA NA UNENE LAKINI HAWEZI ACHA KULA

The Brazilian boy, known only as Misael, was born a healthy 6lb 6oz (2.9kg) But every month since, has gained 6lb (3kg), meaning he str...

29 Sep 2014 | Read more
TOP TEN

Top 10 ‘Breaking Bad’ Moments

Ursula Coyote / AMC 10. The ricin’s fate is revealed For all its discussion over the course of the series, ricin had never been ...

08 May 2014 | Read more
FACTS

WACHINA NOMA SANA

 Ukisikia Wachina balaa sasa hii ni moja wapo, Kiwanda Kimojawapo cha China kijulikanacho kwa jina la LandWind kimeibuka na Kutengene...

25 Nov 2014 | Read more
ENVIRONMENT NEWS

A CLIMATE CHANGE INSPIRED PROJECT LAUNCHES IN DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399 ...

04 Aug 2017 | Read more
FASHION

MH. CATHERINE MAGIGE AZINDUA RASMI DUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY

. MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Vijana , Mkoa wa Arusha Catherine Magige  leo amezindua rasmi  duka ...

12 Jan 2015 | Read more
HISTORY

MAKALA FUPI: Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan ajifungua

Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuas...

28 May 2014 | Read more
TRAGEDY NEWS

JOCKTAN MAKEKE KUSHIRIKI MAONESHO YA UTAMADANI NCHINI NIGERIA

 Mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini, Tanzania Devotha Mdachi  akikabidhiwa bendera Msanii wa mitindo, Jocktan...

09 Sep 2017 | Read more

dailyvideo

STORY: WAPAMBE WAMFUATA VICKY KAMATA WODINI



Stori: Waandishi Wetu 

MAMBO yanazidi kuwa mambo kuhusu ile ndoa ya Mbunge Vicky Kamata iliyoyeyuka katika dakika za majeruhi, safari hii Risasi Mchanganyiko limefanikiwa kuwanasa baadhi ya wapambe ambao walitakiwa kuwa kwenye msafara wa harusi hiyo kutoka kanisani hadi ukumbini.

Baadhi ya wapambe waliotakiwa kuwepo katika harusi ya Vicky Kamata walipomtembelea wodini
Wapambe hao walitia timu kwenye wodi aliyokuwa amelazwa Vicky katika Hospitali ya General iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, Jumamosi iliyopita (ambayo ndiyo ilikuwa ndoa ifungwe).
WAPAMBE WATATU
Katika idadi ya watu sita waliofika kumjulia hali Vicky, watatu wakiwemo wanaume wawili ndiyo waliokuwa wamevaa sare ya harusi hiyo ambayo ingetawaliwa na rangi ya purple ‘papo’ (angalia picha ukurasa wa mbele).

SARE KAMILI
Iilithibitika kwamba sare za shughuli hiyo zilishashonwa, wanaume waliokuwa mstari wa kusindikiza maharusi walitakiwa kuvaa suti nyeusi (single button), shati jeupe na tai fupi (necktie) yenye rangi ya papo.

Wapambe wakiwa wodini kumfariji Vicky.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, wanawake ambao pia walikuwa kwenye msafara wa maharusi (ma-maids) walitakiwa kuvaa magauni ya rangi hiyohiyo ya papo.
KWA NINI WALIVAA HUKU WAKIJUA HARUSI HAIPO?
Kwa mujibu wa chanzo chetu, wapambe hao walikuwa ndani ya mavazi hayo kwa sababu walijua baada ya ndoa kuyeyuka, wasingeweza kuvaa siku nyingine.

“Unajua wale si kwamba walikwenda pale na sare wakijua ndoa ipo, walijua kabisa kwamba haipo ila sasa kwa sababu ndiyo ilikuwa siku yenyewe ilibidi wajipigilie tu kama kusafisha hali ya hewa au wengine husema ‘kuoshea’ jina,” kilisema chanzo.
Vicky hospitalini.
UKUMBI WADODA
Waandishi wetu Jumapili iliyopita walikwenda mbele zaidi kwa kufika kwenye  Hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam ambako shughuli ya ndoa hiyo ingefanyikia.

Mfanyakazi mmoja ambaye aligoma kutaja jina kwa sababu si msemaji wa hoteli hiyo alisema ukumbi ambao ulikuwa utumike kwa harusi ya Vicky Kamata uitwao Kili Marquee ulilala doro baada ya wahusika kuweka wazi kwamba hakuna harusi tena.
...Akifarijiwa.
“Ukumbi ulilala mtupu, taarifa zilishakuja mapema kwamba hakuna harusi,” alisema mfanyakazi huyo.
Alipoulizwa ni kwa nini wasikodishe kwa mtu mwingine, mfanyakazi huyo alisema si utaratibu wa hoteli hiyo.

“Wale walishalipia, sasa ukisema ukodishe kwa wengine kwa sababu harusi haipo, je, ingetokea harusi ikaja ghafla na kukuta wateja wengine? Si ingekula kwetu?” Alisema mfanyakazi huyo.
MILIONI 40 ZA MCHANGO ZATATIZA
Kuna habari kwamba, zaidi ya shilingi milioni arobaini ambazo zilikuwa za mchango wa harusi hiyo zimetoweka kusikojulikana.

Fedha hizo zilichangwa na wadau mbalimbali katika kufikia kile kiasi cha shilingi milioni 96 ambazo zilidaiwa tangu awali kwamba ndizo zingefanikisha shughuli nzima ya harusi hiyo iliyotarajiwa kuwa ya kifahari.
Vicky Kamata akiwa katika pozi na mwanaume aliyepanga kuoana naye anayejulikana kwa jina la Charles ambaye kwa sasa hajulikani alipo.
BWANA HARUSI HAJULIKANI ALIPO
Ili kupata uwiano sawa wa habari hii, juzi Jumatatu waandishi wetu walimtafuta mwanaume aliyetarajiwa kufunga ndoa na Vicky, Charles kwenye ofisi ya kampuni moja ya simu za mkononi, Kijitonyama jijini Dar lakini baadhi ya wafanyakazi walisema ana wiki mbili hajakanyaga kazini.
“Huyu bosi hajakanyaga hapa wiki mbili, hayupo,” alijibu mfanyakazi mmoja.

Risasi Mchanganyiko: “Hajakanyaga kivipi? Kasafiri, yuko likizo au?”
Mfanyakazi: “Aliandika barua ya kuomba mapumziko ya wiki mbili kwa hiyo hatujui yuko wapi kwa sasa.”

Vicky Kamata akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Tabata General jijini Dar.
NYUMBANI KWA VICKY 
Baada ya kutoka ofisini kwa bwana harusi, wanahabari wetu walitinga nyumbani kwa bibi harusi Vicky Kamata, Sinza ya Vatican, Dar na kukumbana na mlinzi getini ambaye alisema mgonjwa huyo aliruhusiwa kutoka hospitali saa mbili usiku wa Jumapili lakini alikuwa amelala na haruhusiwi kuzungumza na mtu yeyote zaidi ya kupumzika.

“Mheshimiwa karudi jana usiku saa mbili lakini haruhusiwi kuzungumza na watu, amelala,” alisema mlinzi huyo.
CHANZO Global Publishers

Posted by Editor on 10:18. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for STORY: WAPAMBE WAMFUATA VICKY KAMATA WODINI

Post a Comment

Photo Gallery

Designed by Solaranlagen | with the help of Bed In A Bag and Lawyers