EAST AFRICAN NEWS

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Y...

10 Nov 2017 | 0 comments | Read more

WATANZANIA WANG'ARA SHINDANO LA MWANDISHI BORA WA SAYANSI NA KILIMO AFRIKA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Uganda na Mjumbe wa Bodi ya ASARECA, Dr. Ambrose Agona (kushoto), akimkabidhi cheti Mwand...

29 Sep 2017 | 0 comments | Read more
ENTERTAINMENT NEWS

WAZIRI MWAKYEMBE AUDHURIA TAMASHA LA JAMAFEST NCHINI UGANDA

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe akipokelewa na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Ugand...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI (TASUBA) PAMOJA NA SHORT STATURE OF KENYA ZIKIONYESHA MAIGIZO TAMASHA LA JAMAFEST

 Kikundi cha burudani ya Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of Kenya kikitoa igizo lake la ku...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

DKT.MWAKYEMBE AMEWAPONGEZA WAJASIRIAMALI WA TANZANIA KWA KUSHIRIKI TAMASHA LA JAMAFEST KAMPALA, UGANDA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Utamaduni, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiangalia ngoma ya kiutamaduni iliy...

14 Sep 2017 | 0 comments| Read more

WORLD NEWS

TECHNOLOGY

CONGRESS TO SMART DEVICE MAKERS: YOUR SECURITY SUCKS

Four senators propose the "Internet of Things Cybersecurity Improvement Act,"...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

HUAWEI CAME REALLY CLOSE TO SELLING AS MANY PHONES AS APPLE

Apple sold 41 million iPhones in the second quarter, while Huawei's shipments were a...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

SECRET SERVICE WILL REPORTEDLY TEST DRONE FOR TRUMP SECURITY

The Secret Service is looking at whether unmanned aerial vehicles could be use...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

WHAT APPLE'S EARNINGS TELL US ABOUT THE IPHONE 8

The iPhone 7 and 7 Plus may see it's future sibling sooner than many expected.  S...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more
CELEBRITIES NEWS

JOCKTAN MAKEKE KUSHIRIKI MAONESHO YA UTAMADANI NCHINI NIGERIA

 Mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini, Tanzania Devotha Mdachi  akikabidhiwa bendera Msanii wa mitindo, Jocktan...

09 Sep 2017 | 0 comments| Read more

IMPRESSIVE! BEYONCE LOOKS SLENDER IN LOW-CUT DRESS ON SUSHI DATE IN LA WITH JAY Z

Crazy in love: Beyonce looked absolutely fabulous on a sushi date night with husband Jay Z on Wednesday ...

04 Aug 2017 | 0 comments| Read more

BLOODIED JESSICA BIEL SIZZLES IN STEAMY SEX SCENE WITH HER HUNKY ONSCREEN HUSBAND

Bloody: The gimmick of the show is figuring out why this mother and wife decided to stab a man to death in the first place ...

03 Aug 2017 | 0 comments| Read more

Share this Post

SPORTS NEWS

JOSEPH KIMWAGA KUKAA NJE MIEZI MINNE BAADA YA UPASUAJI WA GOTI

WINGA wa Klabu ya Azam FC Joseph Kimwaga akiwa katika chumba cha matibabu katika Hospitali ya Vincent Palloti iliyopo jijini ...

06 Sep 2017 | Read more
HEALTH NEWS

PAMOJA NA UNENE LAKINI HAWEZI ACHA KULA

The Brazilian boy, known only as Misael, was born a healthy 6lb 6oz (2.9kg) But every month since, has gained 6lb (3kg), meaning he str...

29 Sep 2014 | Read more
TOP TEN

Top 10 ‘Breaking Bad’ Moments

Ursula Coyote / AMC 10. The ricin’s fate is revealed For all its discussion over the course of the series, ricin had never been ...

08 May 2014 | Read more
FACTS

WACHINA NOMA SANA

 Ukisikia Wachina balaa sasa hii ni moja wapo, Kiwanda Kimojawapo cha China kijulikanacho kwa jina la LandWind kimeibuka na Kutengene...

25 Nov 2014 | Read more
ENVIRONMENT NEWS

A CLIMATE CHANGE INSPIRED PROJECT LAUNCHES IN DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399 ...

04 Aug 2017 | Read more
FASHION

MH. CATHERINE MAGIGE AZINDUA RASMI DUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY

. MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Vijana , Mkoa wa Arusha Catherine Magige  leo amezindua rasmi  duka ...

12 Jan 2015 | Read more
HISTORY

MAKALA FUPI: Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan ajifungua

Meriam Yehya Ibrahim Ishag aliadhibiwa kwa makosa mawili, zinaa na kuas...

28 May 2014 | Read more
TRAGEDY NEWS

JOCKTAN MAKEKE KUSHIRIKI MAONESHO YA UTAMADANI NCHINI NIGERIA

 Mkurugenzi wa bodi ya Utalii nchini, Tanzania Devotha Mdachi  akikabidhiwa bendera Msanii wa mitindo, Jocktan...

09 Sep 2017 | Read more

dailyvideo

SUDANI: Makubaliano Ya Amani Yavunjwa Sudan Kusini


Vikosi vya serikali ya Sudan Kusini na waasi wanaendelea kupigana wakivunja makubaliano mepya ya amani na kufifiisha matumaini ya kumaliza miezi mitano ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kiongozi wa waasi Riek Machar(kulia) na rais wa Sudan Kusini Salva Kiir(kushoto) wakipeana mikono kumuomba Mungu kabla ya kutia saini makubaliano ya amani mjini Addis Ababa May tisa iliyopita
Mapigano yamepamba moto katika jimbo tajiri kwa mafuta la Nile ya juu,kwa mujibu wa waziri wa ulinzi Kuol Mayang aliyesema vikosi vya serikali vimeamariwa" visende kupigana,lakini vijihami tu vikishambuliwa."
Tangu rais Silva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar walipotia saini makubaliano ya kuweka chini silaha ijumaa iliyopita,pande zote mbili zinaendelea kulaumiana kuanzisha upya mashambulio .
"Riek Machar havidhibiti vikosi vyake na wanamgambo wake wenye silaha nzito nzito wanaojulikana kama "Jeshi jeupe" wanaojipakaa jivu kama alama ya vita na wakati huo huo kuepusha wasitafunwe na mbu" wamewashambulia wanajeshi wa serikali,waziri wa ulinzi Manyang ameendelea kusema.
"Hivi si vikosi vya kawaida,jeshi jeupe limeundwa na raia na hawajaarifiwa chochote kuhusu makubaliano yaliyofikiwa ili kusitisha uhasama-waziri huyo wa ulinzi wa serikali ya mjini Juba amesema na kuongeza waasi ndio waliokuwa wa kwanza kushambulia.
Rais Silva Kiir anasema anataka amani
Wanajeshi wa Sudan Kusini waakishangiriwa na wananchi huko Malakal
Nae msemaji wa jeshi Philip Aguer amesema wasimamizi kutoka jumuia ya IGAD wanapelekwa Bentiu,mji mkuu wa jimbo tajiri kwa mafuta Unity .
Rais Salva Kiir amesisitiza alipokuwa akiuhutubia umati wa watu huko Juba kwamba anataka amani."Tumewaamuru wanajeshi wetu wasibanduke mahala walipo kuwashambulia waasi."Amesema.
Pande hizi mbili ziliwahi kukubaliana kuweka chini silaha mwezi january uliopita,lakini makubaliano hayo hayakukawia kuvunjika na wimbi jipya la mapigano kuripuka.
Wachunguzi wa mambo wanasema pande zote mbili zinakabiliwa na changamoto ya jinsi ya kutekeleza makubaliano ya amani huku muungano wa makundi ya wanamgambo yakiwaleta pamoja wanajeshi walioasi na makundi yanayohasimiana ya kikabila.
Pande zote mbili zinalaumiana kuwatumia mamluki na waasi kutoka nchi jirani ya Sudan huku upande wa serikali ukiungwa mkono na wanajeshi wa Uganda-Muundo wa Uongozi wa Kiir unatajikana pia kuwa dhaifu.
Uhalifu wa Vita na uhalifu dhidi ya ubinaadam
Kambi za wakimbizi huko Tomping-Juba
Vita katika nchi hii changa kabisa ulimwenguni vimeangamiza maisha ya maelefu ya watu-huku watu milioni moja na laki mbili wakilazimika kuyahama maskani yao.
Umoja wa Mataifa na mashirika yasiyomilikiwa na serikali yanalaani uhalifu wa vita na uhalifu dhidi ya ubinaadam uliofanywa na pande zote hizo mbili:mauwaji chini ya misingi ya kikabila,kulazimishwa watoto elfu tisa watumikie vitani,mashambulio dhidi ya shule na vituo vya huduma za afya,utekaji nyara wanawake na wasichana pamoja na ubakaji....
Mwandishi:Hamidou Oummilkheir/AFP
Mhariri: Mohammed Abdul-rahman

DW SWAHILI

Posted by Editor on 17:28. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for SUDANI: Makubaliano Ya Amani Yavunjwa Sudan Kusini

Post a Comment

Photo Gallery

Designed by Solaranlagen | with the help of Bed In A Bag and Lawyers