Share this Post

dailyvideo

WANACHAMA WA SIMBA WAANDAMANA NA KUFUNGA NJIA ZA MSIMBAZI WAKITAKA WAMBURA ARUDISHWE KWENYE ORODHA YA WAGOMBEA‏

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399


 Mashabiki wa Timu ya simba wakijikusanya nje ya jengo la klabu hiyo kongwe kupinga wambura kuondolewa kwenye uchaguzi unakuja hivi karibuni

 Hapa mashabiki wakizidi kujikusanya kwa wingi mchana huu

 Wanachama wa simba wakiwa wamelizunguka Jengo la klabu yao mchana huu kupinga kuondolewa kwa wambura kwenye uchaguzi wa klabu hiyo

 Wanachama wa Simba wakipiga kelele nje ya jengo la klabu yao hiyo wakitaka wapewe ufafanuzi wa kina kwanini wambura ametolewa kwenye uchaguzi unaokuja

 Mmoja wa wanachama wa Simba akiongea na mamia ya wanachama nje ya jengo la klabu hiyo kutaka wambura arejeshwe mara moja kwenye orodha ya wagombea

 Hapo mmoja ya wanachama waliojikusnya akiwatuliza wanachama wenzake ili waweze kupatamaelezo

 Polisi wakiwa wamefika eneo la klabu ya simba ili kuimarisha ulinzi na kuwataka wanachama wa simba kutulia ili wapate majibu kwa kamati ya uchaguzi

 Mamia ya wanachama wa simba wakiwa nje ya jengo la simba mchan huuMamia ya wapenzi na washabiki wa klabu kongwe ya mpira wa miguu hapa nchini Simba leo mchana wamejikusanya kwa wingi na kupinga Michael Wambura kuondolewa kwenye orodha ya wagombea kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.Wanachama hao ambao walizubguka jengo hilo na kutaka wapewe sababu za msingi kwanini wambura ameondolewa huku wakitaka kufanya vurugu lakini vyombo vya usalama waliwahi kufika eneo la tukio na kuweza kuwatuliza wanachama Hao.

Posted by Editor on 16:43. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for WANACHAMA WA SIMBA WAANDAMANA NA KUFUNGA NJIA ZA MSIMBAZI WAKITAKA WAMBURA ARUDISHWE KWENYE ORODHA YA WAGOMBEA‏

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery