HIVI NDIVYO UTOAJI WA TUZO ZA WATU ULIVYOKUWA
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

Burudani ikiendelea ndani ya Ukumbi uliopo Serena Hotel katika sherehe za utoaji wa Tuzo za watu
Wadau wakifuatilia Tuzo za Watu
Jimmy Kabwe akiendelea Kutangaza
Meneja
Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited, Evance Stephen (Kushoto)
akiwa na Msanii Bora wa Kike katika Tuzo za Watu Elizabeth Michael
maarufu kama Lulu mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa Kipengele cha
Msanii Bora wa Kike anayependwa.
Salama Jabir akiiwa juu ya Steji kwaajili ya kukabidhi tuzo ya Muongozaji Bora wa Video anayependwa
Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili Kutoka BBC Salim Kikeke akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa wadau wake
Faraja Kota Nyalandu (Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mrs Mengi Kylin
Wakurugenzi wa Bongo 5
Babu Tale
akipokea tuzo ya Video bora Kwa Niaba ya Msanii Diamond Ambae hakuwepo
katika Utoaji Tuzo hizo. Nyimbo ya My Number one ya Diamond Ndio Nyimbo
inayopendwa
Mustafa Hassanali (Kulia) akimkabidhi Mwakilishi wa Lady Jay Dee Tuzo ya Video Bora ya Yahaya
Wadau wakifuatilia Sherehe za Utoaji Tuzo hizo zilizofanyika jana katika Ukumbi uliopo katika hoteli ya Serena
Watangazaji wa Clouds Media , Adam, Millard Ayo na B12 wakijadiliana jambo wakati wa sherehe za utoaji tuzo za Watu.
Millard Ayo akipokea Tuzo ya Mtangazaji wa Radio wa kiume anayependwa mara baada ya kuibuka mshindi katika kipengele hiko
Akiwashukuru Wadau waliompigia kura na kumpa sapoti
Salim Kikeke kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwashukuru wadau wake waliomuwezesha kushinda Tuzo
King
Majuto akifurahi mara baada ya kuppokea Tuzo yake mara baada ya
kutangazwa mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora anayependwa wa
Kiume.Picha Zote na Josephat Lukaza
ORODHA KAMILI YA WASHINDI
1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
Millard Ayo – Clouds FM
2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA
Amplifaya – Clouds FM
3.MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
Salim Kikeke – BBC Swahili
4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA
Mkasi – EATV
5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA
Juma Kaseja – Yanga
6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA
Nisher
7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIUME
My Number One – Diamond
8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE
Yahaya – Lady Jaydee
09. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
King Majuto
10. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
Elizabeth ‘Lulu’ Michael
11. FILAMU INAYOPENDWA
Ndoa Yangu