Share this Post

dailyvideo

NEWS ALERT: MUME WA FLORA MBASHA AFIKISHWA MAHAKAMANI APEWA DHAMANA‏

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399


Mume wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akipelekwa mahabusu ya
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar.


Emmanuel Mbasha akifungiwa ndani ya mahabusu.

...Askari Magereza akifunga mlango wa mahabusu.


...Emmanuel Mbasha akielekea kizimbani.
MUME wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na
kesi ya ubakaji amepewa dhamana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar baada
ya kutimiza masharti.
Mbasha amefikishwa mahakamani hapo akitokea Gereza la Keko
alikopelekwa Juni 17 mwaka huu akikabiliwa na kesi ya kumbaka shemeji yake.Mbasha baada ya kutolewa kwenye mahabusu ndogo ya mahakamani
hapo alionekana mnyonge na aliyechoka hali iliyosababisha simanzi kwa ndugu na
jamaa zake waliokusanyika mahakamani hapo.
Baada ya kesi hiyo kutajwa, rafiki wa Mbasha
aliyejitambulisha kwa jina la George Mushi na baba wa mtuhumiwa huyo, Mwahimu
Juma walifanikiwa kutimiza masharti ya dhamana.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)

Posted by Editor on 13:09. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for NEWS ALERT: MUME WA FLORA MBASHA AFIKISHWA MAHAKAMANI APEWA DHAMANA‏

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery