TUZO ZA MTV JANA: DAVIDO MWANAMUZIKI BORA WA KIUME
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo.Tuzo ya Best Collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja.
Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi kubwa kupiga kura na kutoa sapoti kwenye mitandao ya kijamii.




