WASANII WA BONGO: MSHUHUDIE DIAMOND PLATNUMZ AKIWA STUDIO KUREKODI NGOMA PAMOJA NA MAFIKIZOLO.
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
| |
Haya another step kwa msanii diamond the platnumz, last nyt mtandao
wa SWAHILII umepokea habari kupitia wadau na mashabiki wake , yakuwa
msanii diamond the platnumz tayari ameshafanikiwa kufanya collabo na
wasanii wanaounda kundi la mafikizolo, soon audio track itakuwa released
okay gud for diamond the platnumz keep it up bro hiyo ni step nyingine
kubwa kwako.
Posted by Editor
on 07:26.
Filed under
entertainmentnews,
feature
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0