Share this Post

dailyvideo

WATU 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA SHAMBULIO LINGINE KENYA‏

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
Picha za kusikitisha za watu waliouawa na kujeruhiwa katika
shambulizi lililofanywa Mpeketono Jumapili usikuShambulizi lengine limetokea katika eneo la Mpeketoni karibu
na Lamu , pwani ya Kenya na kusababisha vifo vya watu 10.Shambulizi la leo
limetokea siku moja tu baada ya Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi
yaliyowaua watu 50 Jumatatu.Polisi wanasema kuwa washambuliaji hao walivamia
kijiji kimoja usiku kucha.Kundi la Al Shabaab lilikiri kufanya mashambulizi hayo na
kuambia shirika la habari la Reuters kuwa operesheni yao ya mashambulizi
itaendelea nchini Kenya.Takriban watu 50 waliuawa katika mashambulizi yaliyofanyika
usiku wa kuamkia Jumatatu huku washambuliaji wakishambulia hoteli na kituo cha
polisi pamoja na kuteketeza magari.BBC


Posted by Editor on 19:04. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for WATU 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA SHAMBULIO LINGINE KENYA‏

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery