Tuesday, 21 October 2014

NEWS ALERT: Yesaya Ambilikile YP msanii wa kundi la TKM afariki dunia
Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’(kulia kwenye picha) amefariki dunia usiku wa jana katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua.
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

0 comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text