Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri
DANSA wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses
Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt
Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt.
Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina
mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo
nimefika,” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399