Share this Post

dailyvideo

TANZIA: MWANAMUZIKI NGULI MUKUNA ROY(BWANA KITOKO) AFARIKI DUNIA

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
Mwanamuziki nguli na mpiga Saxophone maarufu na aliyekuwa rais wa bendi ya Super Kamanyola yenye maskani yake jijini Mwanza, Munuka Roy maarufu "Bwana Kitoko" amefariki dunia jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili likokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mwanamuziki Roy ambaye alikuwa pia ni mwalimu wa muziki, mtunzi na mpuliza saxophone mahiri, alitamba zaidi na iliyokuwa bendi maarafu hapa nchini ya Orchestra Maquis Du Zaire na baadae Maquis Original. 
Mungu Aiweke Roho yake mahala pema peponi.
-AMIN

Posted by Editor on 09:17. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for TANZIA: MWANAMUZIKI NGULI MUKUNA ROY(BWANA KITOKO) AFARIKI DUNIA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery