13 WAFARIKI BARCELONA KWA SHAMBULIO LINALODHANIWA KUWA NI LA KIGAIDI.
Watu 13 wameripotiwa kufariki na wengine wengi kujeruhiwa
kufuatia gari moja kuendeshwa na kuvamia umati wa watu eneo la utalii la
Las Ramblas mjini Barcelona.
Polisi wameripoti tukio hilo na kusema ni shambulio la kigaidi.

