Share this Post

dailyvideo

RASMI NEYMAR Jr KATUA KATIKA KLABU YA PSG

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399


 Klabu ya Psg imetangaza rasmi kumsajili mshambuliaji Neymar Jr kutoka Barcelona kwa mkataba wa miaka mitano. Amesajiliwa kwa ada ya rekodi ya dunia ya Pauni milioni 198 na anatarijawa kutambulishwa kwa mashabiki katika uwanja wa Parc De Princes.

Posted by Editor on 11:06. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for RASMI NEYMAR Jr KATUA KATIKA KLABU YA PSG

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery