Share this Post

dailyvideo

Lori laua wawili na kujeruhi vibaya wengine nane kibaoni-tegeta jijini dar leo, Tunaomba Radhi kwa picha mtakazo ziona kutoka eneo la tukio


Wananchi wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakisaidiani na polisi kuupakiza mwili wa mmoja wa mwananchi kwenye gari kati ya watu waliokufa katika  ajali iliyotokea baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu ya breki  na kuacha  barabara na kugonga Daladala kabla ya kuvamia baa na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa leo.Picha kwa hisani ya MOBILE STUDIO 2002.

Wananchi wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakijaribu kutoa mwili wa mmoja wa mwananchi kati ya watu waliokufa katika  ajali iliyotokea baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu ya breki  na kuacha  barabara na kugonga Daladala kabla ya kuvamia baa na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa leo.Picha kwa hisani ya MOBILE STUDIO 2002.

Chanzo Blog ya Michuzi

Posted by Editor on 19:00. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Lori laua wawili na kujeruhi vibaya wengine nane kibaoni-tegeta jijini dar leo, Tunaomba Radhi kwa picha mtakazo ziona kutoka eneo la tukio

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery