Share this Post

dailyvideo

Msanii wa kike mwenye Lamborghini Uganda lina Thamani ya zaidi ya Milioni 600 zaki Tanzania, anaitwa Zari Hassan



Zari Hassan ni mwanamuziki wa Uganda ambaye anajulikana kwa utajiri uliokithiri.

Amewahi kumiliki/anamiliki BMW – 2006, Black Chrysler – 2008, Audi Q7 – 2010, Silver Crysler – 2008, JETTA-2006, Mercedes Benz convertible -2008 zote zikiwa na plate namba binafsi ZARI 2-4-H GP.

Na sasa kuonesha kuwa hakuna kama yeye Afrika Mashariki, mrembo huyu anamiliki Lamborghini nyeupeeeee!


Bei yake ni kama $387,000!!! (Zaidi ya shilingi milioni 600)



Akiwa mke wa mtu na mama watoto wawili, Zari pia aliwahi kupigiwa kura kama mwanamke mrembo kuliko wote Uganda. 


Pamoja na muziki wake kufanya vizuri nchini Uganda ka akina Jose Chameleone, Bebe Cool, Bobi Wine na Ragga Dee, Zari anatumia muda mwingi kufanya biashara.

Posted by Editor on 17:10. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Msanii wa kike mwenye Lamborghini Uganda lina Thamani ya zaidi ya Milioni 600 zaki Tanzania, anaitwa Zari Hassan

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery