VIDEO: RAIS DR. JAKAYA KIKWETE APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI
Rais Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London, Uingereza leo, mependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.
VIDEO NA IKULU
VIDEO NA IKULU