Share this Post

dailyvideo

STORY INAYOGUSA NA KUSIKITISHA SANA: JE KIJANA HUYU ALIPANGA KUFARIKI SIKU KAMA YA LEO? SOMA HAPA



 HUU NI MFANO WA AJALI
Kijana mmoja aliachwa na mpenzi wake kwa shari na maumivu kibao kisa hana kazi yenye kipato cha kutosha kumnunulia mahitaji ya kumtosha mpenzi wake.

Miaka miwili baadae kijana alifanikiwa kuajiriwa na hatimaye kuwa meneja wa taasisi moja ya kifedha na maisha yakawa mazuri na ya kuridhisha nafsi yake.

Siku moja tarehe kama ya leo yule kijana akiwa na uchovu wa kazi za siku hiyo alirudi nyumbani na moja kwa moja akaingia chumbani akabadilisha mavazi yake na kwa uchovu akachukua kahawa yake na kuchagua filamu nzuri ili aweze
kuburudika kidogo.

Kabla hajaanza kuangalia filamu yake mara akaja yule dada aliyemkimbia kaka huyo miaka miwili iliyopita na kumwomba ice cream ya baridi sana kabla ya kumweleza kilichompeleka pale.

Kwa kuwa hakuwa na friji kijana akamwacha binti yule sebuleni na kukimbia kuvuka barabara mpaka dukani ili akamnunulie dada yule
Ice Cream ya baridi.

Wakati anavuka barabara ili arudi nyumbani, gari likaja kwa spidi na kumgonga yule kijana na kufa hapo hapo.

Nakuombea kwa siku hii muhimu kwako, familia na marafiki zako.

*Mgeni yoyote yule atakayekuja kwako akiwa ni kibaraka wa shetani kukuletea mauti ya mapema na asije.

*Shetani anayetaka kukuletea umauti hata ikumbuka nyumba yako wala mtaa wako.

*Hutafanya makosa yatakayo kuletea umauti.

*Hautakuwa na safari yoyote ile yenye umauti.

* Hautakuwa na mtoko wa kukuletea umauti

*Hakuna mambo ya zamani yatakayokurudia na kukukumbusha maumivu au kukujeruhi moyoni

*Kifo hakitaitembelea familia yako.

*Neno kifo halitatamkwa kamwe mdomoni kwako.

Comment AMEN kama unaamini katika uweza wa Mungu na kama wajali katika sala na siku hii itaisha salama....


Imeandikwa na Salim kikeke wa BBC

Posted by Editor on 14:23. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

1 comments for STORY INAYOGUSA NA KUSIKITISHA SANA: JE KIJANA HUYU ALIPANGA KUFARIKI SIKU KAMA YA LEO? SOMA HAPA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery