Kamati Miss Tanzania Yatembelea Miss Chang'ombe
Warembo wakianza rasmi mazoezi yao mara baada ya mazungumzo na kamati ya Miss Tanzania.
Warembo wakiwa katika mazoezi ya shoo ya ufunguzi.
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la kumtafuta malkia wa kitongoji cha Chang'ombe yaani Miss Chang'ombe linalotarajiwa kufanyika jumamosi ijayo kwenye ukumbi wa Quality Center jijini Dar es salaam, kamati ya Miss Tanzania imetembelea mazoezi ya warembo hao leo jioni katika viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe.
Chanzo: Fullshangwe







