KOLO TOURE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU.
Mchezaji wa Manchester City na Timu ya Ivory Coast, Kolo Toure anatarajia kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, mama wa watoto wake wawili “Chimène Akassou”. Wawili hawa wamekuwa wakishi pamoja tangu mwaka 2003 Kolo Toure alipoamiami Uingereza.
Kolo akizungumza na vyombo vya habari alisema anatarajia kufunga ndoa na mzazi mwenzie eneo la Mairie de Cocody mjini Abidjan, Ivory Coast. tarehe 16 na 17 juni 2012.
Chanzo: Mo Blog





