Share this Post

dailyvideo

Noela Michael anyakua taji la Redd's Miss Tabata usiku wa kuamkia leo



 Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela
Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto)
na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupu baada ya kumalizika kwa
kinyang'iro hicho,usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini
Dar. Tano Bora. Kumi Bora. Washiriki Wote wakipita kwenye steji.
Warembo waliofanikiwa kuingia tano Bora wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kutangazwa kwa mshindi wa shindano hilo usiku wa kuamkia leo.
(Picha kwa hisani ya Michuziblog.)

Posted by Editor on 09:41. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Noela Michael anyakua taji la Redd's Miss Tabata usiku wa kuamkia leo

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery