Share this Post

dailyvideo

Maadam Ritah azungumzia maandalizi ya shindano la Epique Bongo Star Search 2012


Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritah Paulsen akizungumza katika mahojiano na Dida wa Mchops hayupo pichani  mtangazaji wa Times Radio wakati alipozungumzia maandalizi ya mchakato wa kuwapata washiriki watakaoshindana katika shindano la Epique Bongo Star Search katika mikoa mbalimbali nchini, zoezi la kusaka washiriki hao linaazia mkoani Dodoma Juni 15 katika Ukumbi wa Royal Village, katika picha kulia ni Awaichi Mawala kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel ambao ndiyo wadhamini wa shindano hilo.
Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritah Paulsen, Awaichi Mawala kulia  kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel na Dida wa Mchops  mtangazaji wa Times Radio wakishoo love katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mahojiano hayo.
Kwa hisani ya Father Kidevu

Posted by Editor on 08:09. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Maadam Ritah azungumzia maandalizi ya shindano la Epique Bongo Star Search 2012

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery