Share this Post

dailyvideo

SHOMARI KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA 2011




 Rais Msaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi akimkabidhi hundi ya
shilingi milioni 12,Shomari Kapombe baada ya kuibuka mwanamichezo bora
wa mwaka 2011 wakati wa tuzo za TASWA zilizotolewa Diamond Dar es Salaam
jana.



  Rais Msaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi akionyesha hundi ya mwanamichezo bora wa mwaka 2011



  Rais Msaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi akimkabidhi Shomari Kapombe



 Shomari Kapombe akiwa na wadhamini wa tuzo za TASWA



Shomari Kapombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Simba, Godfrey Nyange mara baada ya kukabidhiwa tuzo.

Posted by Editor on 11:59. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for SHOMARI KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA 2011

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery