Share this Post

dailyvideo

Tukio kamili la Kilicho tokea baada ya Dr. Ulimboka kufikishwa hospitalini Madaktari wengi wajitokeza kumpa msaada.

Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam wakimpakia kwenye Gari Daktari Mwenzao aliepatwa na Mkasa wa Kutekwa Nyara na watu wasiojulikana na ambao walimjeruhi vibaya sana,Dk. Steven Ulimboka aliepatwa na mkasa huo usiku wa kuamkia leo huko katika msitu wa Mabwepande,jijini Dar
Wanahabari wakihangaika kupata picha ya Dk. Steven Ulimboka alieinginzwa kwenye gari hiyo tayari kwa kupelekwa kwenye Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa matibabu zaidi.
Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakiisukuma gari iliyokuwa imempaki Dk. Stevan Ulimboka.

Posted by Editor on 21:58. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Tukio kamili la Kilicho tokea baada ya Dr. Ulimboka kufikishwa hospitalini Madaktari wengi wajitokeza kumpa msaada.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery