Share this Post

dailyvideo

Facebook yaongeza icon ya mashoga kwenye timeline,yani Ndoa za Jinsia moja



Baada ya mmoja wa waanzilishi wa Facebook Chris Hughes ‘kuolewa na mpenzi wake wa siku nyingi  Sean Eldridge huko New York City, Marekani, jumamosi iliyopita, mtandao huo maarufu wa kijamii umeamua kuanzisha alama ya kuonesha status kwa wapenzi wa jinsia moja.

Chris Hughes (Kushoto) na Sean Eldridge walipofunga ndoa jumamosi
Kwa kawaida wakati watu wanapobadilisha status kutoka single, engaged ama it’s complicated na kwenda 'married' kulikuwa na kiicon cha mwanaume akiwa na mwanamke kwenye timeline, lakini sasa hivi kuna alama imeongezeka ya mwanamke akiwa na mwanamke ama mwanaume akiwa na mwanaume.

Facebook banaaaaa!
Source: Leo Tainment Blog

Posted by Editor on 19:48. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Facebook yaongeza icon ya mashoga kwenye timeline,yani Ndoa za Jinsia moja

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery