Share this Post

dailyvideo

News Alert: Kumetokea ajali Mbaya Karibu na Rombo ambapo Coaster imeua Mwendesha Baiskeli papo hapo

 Hii Ndio Coaster ambayo ilikuwa ikijitahidi kuokoa maisha ya mwendesha Baiskeli lakini haikuwezekana na kumgonga.



Ni Muda huu ambapo hata Mapolisi hawajafika eneo la Tukio ambapo Mwendesha baiskeli anaonekana amesha Fariki huku akiwa ameumia vibaya.

Ajali mbaya imetokea maeneo ya Jirani na Rombo muda huu ambapo imehusisha mwendesha Baiskeli na Coaster, ambapo mwendesha baiskeli alikuwa barabarani akitembesha baiskeli hiyo huku coaster ikiwa inakuja kasi, hata hivyo alipigiwa honi lakini bado alikuwa yupo barabarani, Dereva wa Coaster alifanya jitihada zote za kukwepa lakini ikashindikana na Kumgonga mwendesha baiskeli, ambapo alifariki papo hapo kutokana na kuumia vibaya, hata hivyo Abiria wa mbele wameumia kiasi kutokana na kuangukiwa na kioo cha mbele, mpaka sasa hawajapata msaada wa usafiri.
Picha na This day Magazine kutoka eneo la tukio

Posted by Editor on 18:40. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for News Alert: Kumetokea ajali Mbaya Karibu na Rombo ambapo Coaster imeua Mwendesha Baiskeli papo hapo

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery