Share this Post

dailyvideo

News Alert: DKT. ULIMBOKA KUWEKA WAZI YALIYOMTOKEA BAADA YA SIKU 40.


Na. Gabriel Mushi, Gabriel Masese- Mtanzania
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania Dkt. Stephen Ulimboka (pichani) amesema anatarajia kuanika madudu ya watu waliomteka na kumfanyia vitendo vya kinyama, baada ya kufanyia uchambuzi wa kina mkasa uliomkumba.
 Dkt. Ulimboka amesema ataanika madudu yote aliyofanyiwa baada ya siku 40.
Dkt. Ulimboka, aliyerejea kutoka nchini Afrika Kusini, alikokuwa amekwenda kutibiwa, amesema ana siri nzito moyoni ambayo akiitoa, Watanzania watamuelewa tu.
Amesema baada ya kurudi nyumbani salama, hivi sasa amejikita zaidi kufanya uchambuzi wa mambo au matukio yaliyomsibu kabla ya kupelekwa Afrika Kusini ili ukweli ujulikane.

Posted by Editor on 13:43. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for News Alert: DKT. ULIMBOKA KUWEKA WAZI YALIYOMTOKEA BAADA YA SIKU 40.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery