Operesheni Sangara Ya CHADEMA Yavuna Wanachama Wapya Ulanga Mashariki,Kijiji Cha Nkonongo
Wapenzi na Washabiki wa Chadema wakijiandikisha na Kuchukua kadi mpya za uanachama Ulanga Mashariki, Kijiji cha NkonongoPicha Zote na CHADEMA
Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo.
Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Bw Deo Munisi akiwa na Mkuu wa shule kijijini Nkonongo wakiangalia hali halisi ya ubora wa shule ilivyo |
Picha Zote na CHADEMA
Posted by Editor
on 14:04.
Filed under
eastafricannews
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0