Share this Post

dailyvideo

MASTAA WA BONGO.. MPYAA!!DIMAOND AFUNGUKA KUHSUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU...!!!



Diamond - "HUU NDIO UKWELI KUHUSIANA NA MAHUSIANO YANGU MIMI NA WEMA SEPETU...."
"Najua watu wengi sana mnapenda Couple hii  na furaha yenu ni kutuona wawili sisi tukiwa kwenye Mahusiano ya kimapenzi.... na mmekua mkifurahi sana na story za hapa na pale mkiskia kua wawili sisi tumekua pamoja na hata pindi mkituona tuko pamoja pia Mmekua mkishangilia na kufurahi... bt ukweli ni kwamba Mimi na Wema hivi sasa si Wapenzi tumekua ni kama Dada na Kaka ama marafki tu wa kawaida ambao tunashirikiana katika kazi mbalimbali za sanaa na za n'nje ya sanaa, katika harakati za kujenga Taifa Letu... Pia ni vizuri ningependa mfahamu kwamba Wema ana Mpenzi wake ambae  namfaham na tunaheshimiana kama mtu na Shemeji yake........So das' de Truth abt me and Her!... and Get ready! kwa kazi tofauti tofauti ambazo soon zitadondoka...." 

Latest ni kwamba leo hii kwenye You Heard Ndani ya XXL ya Clouds FM Diamond amefunguka tena na kuhakikisha kwamba hana mahusiano na Jokate wala Wema Sepetu yuko kivyake vyake tu. 
Chanzo: This is Diamond

Posted by Editor on 17:15. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MASTAA WA BONGO.. MPYAA!!DIMAOND AFUNGUKA KUHSUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA SEPETU...!!!

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery