Share this Post

dailyvideo

LEO NI KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE,HAYA NI BAADHI YA MATUKIO.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiongea na wananchi.
Mwalimu akiongea na vijana kutoka mkoa wa Mara.
Mwalimu Nyerere akibadilishana nyaraka na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume.
Nyerere akisalimiana na Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi.
Mwalimu Nyerere (kushoto) na Bibi Titi Mohammed (katikati).
Bibi Titi na Mwalimu wakihutubia wananchi enzi za TANU.
Mwalimu akiongea na wananchi.
PICHA ZOTE NA: www.juliusnyerere.info

Posted by Editor on 16:52. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for LEO NI KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE,HAYA NI BAADHI YA MATUKIO.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery