Muigizaji mkongwe wa filamu nchini Nigeria Enebeli Elebuwa afariki duania.
Mwigizaji mkongwe na maarufu katika anga ya Filamu kutoka nchini Nigeria,Enebeli Elebuwa amefariki dunia usiku wa kumkia leo nchini India ambako alikuwa akipatiwa matibabu.Kwa taarifa zaidi Bofya Hapa na ukitaka kuona kazi zake mbalimbali alizowahi kufanya INGIA HAPA





