Share this Post

dailyvideo

ASKARI WAPATA WAKATI MGUMU KUWATAWANYA WATU, WAKATI MWILI WA MANGWEA UKISINDIKIZWA MUHIMBILI.

 Polisi ilibidi wafanye kazi ya ziada, masela walikwidwa sana.
 Mwili ukatolewa
 Hapa ndio rasmi watu wakaanza kuamini kwamba kamanda amepumzishwa
 Ilikuwa lazima ikuguse, ni ngumu kuizuia
 Safari ikaanza
 Gari lililobeba mwili likiwa mikononi mwa raia
 Ilikuwa ngumu kuzuia hisia...
 Mchizi Mox akiwa amekamatia msalaba wa mchizi wake
 Mbio njia nzima.
Picha na Juma Mtanda Blog

Posted by Editor on 18:31. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for ASKARI WAPATA WAKATI MGUMU KUWATAWANYA WATU, WAKATI MWILI WA MANGWEA UKISINDIKIZWA MUHIMBILI.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery