Share this Post

dailyvideo

NEWS ALERT: MSANII WA HIP HOP TANZANIA LANGA AFARIKI DUNIA.

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa afariki dunia..
Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo

Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.

Mungu amrehemu, Ameen

Posted by Editor on 18:53. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for NEWS ALERT: MSANII WA HIP HOP TANZANIA LANGA AFARIKI DUNIA.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery