Share this Post

dailyvideo

JE BABA WA TAIFA ALIONA NINI KUHUSU RASILIMALI ZETU.



Hebu turudi nyuma enzi na uhai wa Baba wa Taifa Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikwisha tabiri majanga ambayo yanaweza kuwapata viumbe wa porini ikiwa binadamu ataendelea na utaratibu wa maisha yake bila ya kufikiria juu ya kizazi kijacho na wala viumbe wa porini kama hawa Tembo.Katika Tamko la Arusha maarufu kama"Arusha manfesto" Baba wa Taifa alitoa wito wa kulinda maliasili na rasilimali zetu, mpaka leo bado unabeba ujumbe mzito na kuwa na jina tu kwani hifadhi zetu ziko hatarini kupoteza umaarufu wake.

Katika tamko hilo Baba wa Taifa alisema

- Waafrika wote kuhakikisha kuwa wanyamapori wanaendelea kuwepo.

- Pamoja na wanyamapori kuwa vivutio, ni sehemu ya rasilimali ya maliasili muhimu kwa maisha yetu wote.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI>>

Posted by Editor on 18:43. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for JE BABA WA TAIFA ALIONA NINI KUHUSU RASILIMALI ZETU.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery