JE WAJUA HILI:TEMBO PAMOJA NA UBABE WAKE HATAMBI MBELE YA CHURA.
Chura ni mnyama mdogo sana ambaye binadamu hamthamini na wala kumuogapa,lakini Tembo pamoja na kuwa mnyama mkubwa kuliko wote wa porini anamhara sana chura licha ya udogo wake.
Tembo hata akitaka kunywa maji bwawani,mtoni au mahali popote pale,lakini akisikia sauti ya chura au vyura wanaimba,basi yuko radhi kufa na kiu yake kuliko kuingiza mkonga wake kwenye maji hayo yenye chura.
Tembo anapokunywa maji ambayo huyachota kwa mkonga wake na kuingiza mdomoni,anaweza kuchota pamoja na chura.Chura huyo huenda moja kwa moja kwenye tumbo la mnyama huyo.Kwa kuwa Tembo ana tumbo kubwa basi chura hujisikia kama yupo bwawani na huanza kuimba kama kawaida yake.
BOFYA HAPA KUENDELEA KUPATA UHONDO HUU
TUSHIRIKIANE KUWALINDA WANYAMA NA KUYALINDA MAZINGIRA.





