PATA KUMJUA MNYAMA KURO NA MAISHA YAKE
Kuro ni mnyama aitwaye Kobus kwa lugha ya Kilatini lakini Kobus linalotokana na neno Koba.Koba lina asili ya kiafrika.Jina lake la kisayansi ni Kobus ellipsiprymnus defassa ambapo ellipsiprymnus humaanisha pete nyeupe.Kuro ni mnyama anayependelea kukaa jirani na mito,mabwawa kwa ajili ya kujikinga na adui zake.Hata hivyo mnyama huyu si mnyama anaeishi majini kama vile Mamba na Kiboko ila hukimbilia huko kwa ajili ya kujikinga tu na adui.
Kuro ni mnyama anayekula nyasi akiwa na ukubwa wa inchi 50.Mnyama huyu anapatikana katika uoto wa nyasinyasi maeneo ya savanna na maeneo ya mapori yenye miti miti.
BOFYA HAPA KUENDELEA KUSOMA ZAIDI>>
TUSHIRIKIANE KUWALINDA WANYAMA NA KUYALINDA MAZINGIRA.





