SIO JAMBO LA MASIHALA KUCHEZA NA MNYAMA MKALI KAMA HUYU (TIGER)... MMOJA AUMIZWA VIBAYA SHINGONI
David Styles hakujua kama kunasiku atakuja wachukia wanyama...
Hilo lilitokea baada ya David Styles kujeruhiwa vibaya na moja ya wanyama aliokuwa akiwapenda sana na si mwengine ni mnyama Tiger...
Sasa tazama hapa...
Mmoja ya watu waliokuwa katika mafunzo ana alikuwa akicheza na tiger huyo akiwa ameokolewa muda mfupi kabla ya kupelekwa hospitali.
Ndege ya Dharula ikiwa inampeleka hospitali
David Styles aliye umizwa vibaya na mnyama huyu shingoni amekuwa nae kwa muda mrefu lakini sasa kamfanya vibaya
Mnyama huyu 2004
David Styles akiwa anaokolewa na wenzake baada ya kuumizwa vibaya na mnyama Tiger
Bado wanakimbia huku Tiger akiwafuata kwa hasira

David Styles enzi hizo anacheza na Tiger huyu
David Styles anaendelea na michezo asijue ipo siku mambo yatakua sivyo
Hata hivyo David Styles hakujua kama ipo siku haya yatakuja kumtokea , na ndipo siku yake ilifika ambapo Tiger huyo alimjeruhi vibaya Shingoni akizani ni kitoweo..

David Styles baada ya kuokolewa na tiger huyo, akawageukia wale jamaa 4 wanao onekana katika picha ... na wao kujiokoa kwa kukimbia



