Share this Post

dailyvideo

TUKIO KATIKA PICHA: MUUZA MADAWA YA KULEVYA AKAMATWA NA ZAIDI YA DOLA BILIONI 22, BASTORA NA MACHINE GUN ZENYE DHAHABU NYUMBANI KWAKE! VITU VYOTE VYACHOMWA MOTO.

Katika hali ya kushangaza sana Mtu mmoja ambaye ni Muuza madawa ya Kulevya amekamatwa nyumbani kwake na zaidi ya Dola Bilioni 22 Pesa ambazo zilikuwa zinatosha kabisa kwa ajili ya kulipia huduma ya afya kwa ajili ya wanawake na wanaume wote USA kwa muda wa miaka 12.

Inasemekana ya kwamba sio hiyo nyumba tu ambayo inahusika na hayo maswala ya madawa ya kulevya bali kuna zengine 27 zaidi ambazo zinafanya mambo haya na Dunia nzima kwa ujumla.

Kwa sababu hii ni ngumu sana kupigana na Biashara Haramu ya Madawa ya kulevya Duniani kote 

Licha ya kukamatwa na Mabilion ya Dola  katika nyumba hiyo lakini pia kumekutwa vitu vingi zaidi ikiwa na Siraha za moto za hatari za kivita, Machine Guns, pamoja na Bastora za Dhahabu, vitu vyenye Thamani kubwa pamoja na vingine nje ya madawa ambavyo viliibiwa kutoka maeneo mbalimbali.

Ungana nasi hapa kutazama tukio zima la Muuza unga huyo....

 Hizi ni pesa ambazo zilikuwa bado hazija hesabiwa na zilikuwa zimekadiliwa kuwa Dola Bilioni 18 na baada ya kuhesabiwa zilifikia zaidi ya Dola Bilioni 22

Walioingia katika ukamataji huo walikuwa wamejipanga vilivyo

Hiki ni kieneo kidogo tuu cha hizi siraha nzito ambazo walikuwa wanazitumia jamaa hawa wauza madawa ya kulevya

Hizi ni Bastora ambazo zimetengenezwa kwa Dhahabu pekee

Pisto 61 zilikamatwa zikiwa na dhahabu kabisa na zengine zikiwa zina mapambo ya dhahabu

Hii ni Moja ya Bastola iliyokuwa na urembo wenye picha ya mfano wa 'Mesiah' pia zilikutwa za kutosha tuu

Hii nayo ilikuwa imezungushiwa Dhahabu

Jamaa alikuwa amejipanga sana hapa akiwa na eneo maalum la historia ambapo ameweka Aina mbalimbali za Bastora nyingi zikiwa na dhahabu

Hii ni nyumba ya kifahari ambapo mambo mengi yamenunuliwa kutokana na Bishara ya Madawa

Kwa kiburi cha pesa zake jamaa ametengeneza Pango lake binafsi

Hizi ni sanamu za wanyama zenye Dhamani kubwa ambazo zimewekwa kama fasheni katika Jengo hilo

Zaidi ya Simba wanane wamapambo nao wamo

Unaweza kusema ni mnyama halisi kumbe ni kiumbe tuu

Hii ni sehemu ya kulia maisha

Haya ni baadhi ya Maurembo ambayo mengi ni ya wizi

Hizi ni siraha nyingi zaidi ambazo huwezi tegemea
Hizi ni Dola Bilioni 22 katika mwonekano

Bunduki na pesa zaidi zilizo kamatwa

Pesa zaidi zikiwa zimekamatwa toka mafichoni!

Begi hili likiwa limesheheni noti za Dola 100 zilikuwa na zaidi ya dola milioni moja

Zaidi ya begi 18 ndogo ndogo kama hizi zilikamatwa

Kabati jengine likiwa limekamatwa na mamilioni ya dola

Pesa zaidi

Hizi Ni Million Dollars zengine zilizo kamatwa 

Baadhi ya bidhaa za kichina zenye Thamani kubwa zikiwa zimekamatwa


Hizi ni Machine Guns pamoja na Bastola zilizo kamatwa zikiwa zimeundwa kwa Dhahabu

Lakini vyote vimechomwa moto....


Chanzo The Info JusticePosted by Editor on 13:01. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for TUKIO KATIKA PICHA: MUUZA MADAWA YA KULEVYA AKAMATWA NA ZAIDI YA DOLA BILIONI 22, BASTORA NA MACHINE GUN ZENYE DHAHABU NYUMBANI KWAKE! VITU VYOTE VYACHOMWA MOTO.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery