Share this Post

dailyvideo

HII KALI SANA: RAIS WA NIGERIA AGAWA iPHONE ZA DHAHABU KWA WAGENI WALIOFIKA KATIKA HARUSI YA BINTI YAKE.
Sijui unaweza ukaitafsiri vipi hii lakini katika tafsiri ya kawaida utabaini kuwa viongozi wa afrika hawataki kutoka kwenye uongozi ukweli ni kwamba kuna mkwanja mrefu huko cheki hii

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa zawadi ya shukrani ya simu aina ya iPhone kwa kila mgeni mwalikwa aliyeudhulia sherehe ya ndoa ya mwanae wa kike wa kwanza,Faith iliyofanyika Abuja Ecumenical Centre leo.
 

Ukiachana na mzee Goodluck kutapika simu hizo zenye gharama kwa
wageni, pia ndoa hiyo ilikuwa ikirushwa moja kwa moja na kituo cha runinga cha NTA. 
 Kama ambavyo zilikuwa zimeandikwa kwenye bos simu hizi wengine ilikuwa ni ndoto kwao kumiliki simu hii lakini bahati imekuwa kwao wamejipatia zawadi hii mhimu simu ambayo kila mtu anatamani kuimiliki
Simu yenyewe ndio hii hapa kiukweli kama una bahati mbaya hubahatiki kabisa

Posted by Editor on 13:21. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for HII KALI SANA: RAIS WA NIGERIA AGAWA iPHONE ZA DHAHABU KWA WAGENI WALIOFIKA KATIKA HARUSI YA BINTI YAKE.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery