Share this Post

dailyvideo

LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA JIONEE HAPA

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399


Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee
Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu,
uwanja mzima uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele
zikisema yahayaa, ilikuwa ni kuanzia alipoanza kuimba nyimbo ya kwanza hadi ya
saba, lakini watu wapi, walikuwa wamekazia na kuendelea kupaza sauti wakililia
wimbo wa yahaya. Ni jambo ambalo hata lady Jaydee mwenyewe hakulitegemea.Jaydee alifunguka nakusema “Tangu naanza kuimba wimbo wa
kwanza mpk wa 7 watu wana scream tu, Yahaya, Yahaya. Duuuh! Kenya vipi?

Posted by Editor on 18:41. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA JIONEE HAPA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery