Share this Post

dailyvideo

MA STAR WA BONGO: HAWA NDIO MASAR 5 WA BONGO AMBAO WAMETOKEA KATIKA FAMILIA BORA.

Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399


Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo
basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia
zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi wasanii wengi huwa
wanatokea maisha duni na kupigana na maisha hadi kufikia walipo sasa. Kipindi
Diamond akiacha shule kwa kukosa pesa ya kumsomesha nana elimu yake kuishia
A’level , Hawa wengine walikua wapo shule wakisoma na kuishi vizuri. Vibe
Tanzania inawaorodhesha baadhi ya watoto wakishua ambao kwasasa ni celebrities…
Vanessa Mdee
Vanessa Hau Mdee au unaweza kumuita Vee au Vee Money
alizaliwa mjini Arusha mwaka 1988. Vanessa mdee alikuzwa na baba yake Sammy
Mdee (kwasasa ni marehemu )ambaye alikua ni mtu mzito kwenye nchi hii na mama
yake sophia. Akiwa na umri mdogo Vanessa aliweza kusafiri nchi mbalimbali
duniani. Vanessa Mdee alikulia miji ya New York , Paris , Nairobi na Arusha.
NisherNisher ni mtoto wa Mtumishi wa Mungu Mh Nabii GeorDavie
anayeongoza huduma ya Ngurumo ya Upako yenye makao yake jijini Arusha. Nisher
amekulia katika maisha mazuri na hadi ni wakishua bado. Baba yake aliweza
kumsaidia Nisher kufungua studio yenye thamani kama ya milioni 15 ili mtoto
wake aendeleze kipaji alichonacho.
Jokate Mwengelo
Huyu unaweza kumuita mtoto wa Oysterbay kwani ndio
alipokulia huku baba yake akifanya kazi serikalini. Kumbuka Jokate alizaliwa
washington DC nchini Marekani ambapo wazazi wake walikua wakifanya kazi huko.
Alipomaliza high school katika shule ya Loyola ndipo alipogombania Miss
Tanzania mwaka 2006 na kushika nafasi ya 2.
CHANZO DJ SEK BLOG

Posted by Editor on 09:19. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

1 comments for MA STAR WA BONGO: HAWA NDIO MASAR 5 WA BONGO AMBAO WAMETOKEA KATIKA FAMILIA BORA.

  1. Anonymous

    copy and paste!!!...atleast muwe mna credit source basi.....story originated from www.vibe.co.tz

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery